Ob (kwa Kirusi: Обь) ni mto wa Urusi. Urefu wake ni km 3650. Unapita katika mikoa ya Altai Krai, Novosibirsk Oblast, Tomsk Oblast, Mkoa Huru wa Hanty-Mansi na Mkoa Huru wa Yamalo-Nenets.

Ob (Обь)
Mto ob
Mdomo Bahari ya Kara
Nchi Urusi
Urefu 3,650 km
Mkondo 12,492 m³/s
Eneo la beseni 2,990,000 km²
Miji mikubwa kando lake Barnaul, Surgut, Salehard

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ob kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.