Ob
(Elekezwa kutoka Ob River)
Ob (kwa Kirusi: Обь) ni mto wa Urusi. Urefu wake ni km 3650. Unapita katika mikoa ya Altai Krai, Novosibirsk Oblast, Tomsk Oblast, Mkoa Huru wa Hanty-Mansi na Mkoa Huru wa Yamalo-Nenets.
Mdomo | Bahari ya Kara |
Nchi | Urusi |
Urefu | 3,650 km |
Mkondo | 12,492 m³/s |
Eneo la beseni | 2,990,000 km² |
Miji mikubwa kando lake | Barnaul, Surgut, Salehard |
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ob kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |