Offenbach am Main
(Elekezwa kutoka Offenbach)
Offenbach inaelekezwa hapa.
Offenbach am Main au Offenbach ni mji wa Hesse nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Main. Idadi ya wakazi wake ni takriban 118,770. Mji ulianzishwa 977. Umbali na Jiji la Frankfurt am Main ni 3 km.
Offenbach am Main | |||
| |||
Mahali pa mji wa Offenbach katika Ujerumani |
|||
Majiranukta: 50°6′0″N 8°46′0″E / 50.10000°N 8.76667°E | |||
Nchi | Ujerumani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Hesse | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 118,770 | ||
Tovuti: www.offenbach.de |
Tazama pia
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Offenbach am Main kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |