Kiari Kendrell Cephus (anajulikana kama Offset; amezaliwa 14 Desemba 1991) ni rapa, mwimbaji na mwandishi wa nyimbo kutoka Lawrenceville, Georgia, Marekani.

Offset
Offset, mnamo 2024.
Offset, mnamo 2024.
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Kiari Kendrell Cephus
Amezaliwa 14 Desemba 1991 (1991-12-14) (umri 33)
Kazi yake Rapa, mwimbaji
Ala Sauti
Miaka ya kazi 2002-hadi leo
Studio Quality Control Music

Yeye ni mwanachama wa hip hop na kikundi cha wanamuziki wa trio Migos, pamoja na binamu zake Takeoff na Quavo[1].

Yeye pia ni mwekezaji katika shirika la E-Sports FaZe Clan.

Tanbihi

  1. "Migos: Young, Rich and Outrunning Trouble". Rolling Stone. Juni 24, 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-06-19. Iliwekwa mnamo Juni 20, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Offset kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.