Oge Okoye
Oge Okoye (alizaliwa 16 Novemba 1980) ni mwigizaji wa Nigeria. Ametokea Nnewi katika jimbo la Anambra Nigeria[1].
Oge Okoye alizaliwa London,[2] na baadaye alihamia Lagos na familia yake. Alihitimu elimu ya msingi kabla ya kuhamia Nigeria. Baada ya kurudi Nigeria, alisoma shule ya msingi Enugu na baadaye Holy Rosary College kwa ajili ya sekondari, [3].
Alihitimu katika Chuo cha Nnamdi Azikiwe, Awka na shahada ya Sanaa ya maigizo. Alijiunga na tasnia ya uigizaji Nageria inayofahamika kama Nollywood mnamo waka 2001. Alipata umaarufu 2002 baada ya kuigiza katika filamu ya ‘Spanner’ alipoigiza na Chinedu Ikedieze almaarufu ‘Aki’ kwenye tasnia ya filamu Nageria. Aliolewa na mpeziwe wa muda mrefu mwaka 2005 na kupata watoto wawili. Alitengana na mumewe mwaka 2012 [4]. Mwaka 2006, aliteuliwa kuwania tuzo za African Movie Academy kama muigizaji msaidizi bora wa kwa uhusika wake katika filamu ya "Eagle's Bride"[5][6][7]
Oge ni mzalishaji filamu na mwanamitindo pia. Ametokea katika majarida mengi ya kimitindo, matangazo ya runingani na billboards. Amekua balozi wa makampuni mbali mblai kama vile [Globacom]]na [MTN_Nigeria] ikiwa ni sehemu ya a [Kundi la MTN ] yote yakiwa ni makampuni ya mawasiliano Naijeria [8].
Filamu
hariri
|
|
Mfululizo wa sinema
haririmwaka | Jina | Jukumu | Muongozaji | Ref |
---|---|---|---|---|
2015 | Hotel Majestic] | style="background: #ececec; color: grey; vertical-align: middle; text-align: center; " class="table-na" | Hakuna taarifa | [9] |
Marejeo
hariri- ↑ https://austinemedia.com/10-real-facts-about-oge-okoye-you-probably-didnt-know/
- ↑ "Biography". Iliwekwa mnamo 20 Juni 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ https://www.legit.ng/1183621-nigerian-actress-oge-okoyes-biography.html
- ↑ https://www.premiumtimesng.com/entertainment/naija-fashion/322886-actress-oge-okoye-visits-church-of-pastor-who-faked-resurrection.html
- ↑ "No Big Deal In Married Woman Going To Club - Oge Okoye", Nigerian Tribune, 30 January 2010. Retrieved on 4 February 2011. Archived from the original on 2010-05-05.
- ↑ Ogbonna, Amadi. "My husband thought Iwas a prostitute, say Oge Okoye", Vanguard, Lagos, Nigeria: Vanguard Media, 1 August 2009. Retrieved on 4 February 2011. Archived from the original on 2020-10-17.
- ↑ "Stars at War - Oge Okoye Battles Ini Edo Over Gossip", Allafrica.com, AllAfrica Global Media, 21 November 2010. Retrieved on 4 February 2011.
- ↑ https://austinemedia.com/10-real-facts-about-oge-okoye-you-probably-didnt-know/
- ↑ "'Hotel Majestic' Oge Okoye, Ivie Okujaye, Bukky Ajayi star in new telenovela". Pulse Nigeria. Chidumga Izuzu. Iliwekwa mnamo 31 Desemba 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Oge Okoye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |