Uwanja wa Mji wa Oghara

(Elekezwa kutoka Oghara Township Stadium)

Uwanja wa Mji wa Oghara ni uwanja wa michezo unaotumika kwa matumizi tofautitofauti uliopo Oghara nchini Nigeria. Kwa sasa unatumiwa zaidi kwa mchezo wa mpira wa miguu (soka) na mwaka 2006 ulitumika katika mashindano ya kombe la Afrika la wanawake.

Uwanja huo una uwezo wa kuchukua mashabiki takribani 8,000.[1] Uwanja huo mara kadhaa umetumika kama uwanja wa muda na wa nyumbani wa timu ya Ocean Boys F.C. na Bayelsa United.[2]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Mji wa Oghara kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.