Oh Uganda, Land of Beauty

"Oh Uganda, Land of Beauty" ni wimbo wa taifa wa Uganda tangu mwaka 1962. Sauti na maneno vimetungwa na George Wilberforce Kakoma.

Wimbo wa taifa wa Uganda.

Kwa Kiingereza hariri

Oh Uganda! may God uphold thee,
We lay our future in thy hand.
United, free,
For liberty
Together we'll always stand.
Oh Uganda! the land of freedom.
Our love and labour we give,
And with neighbours all
At our country's call
In peace and friendship we'll live.
Oh Uganda! the land that feeds us
By sun and fertile soil grown.
For our own dear land,
We'll always stand,
The Pearl of Africa's Crown.

Tafsiri hariri

Ewe Uganda Mungu akutunze
Tunaweka kesho yetu mkononi mwako.
Pamoja kama watu huru
Kwa ajili ya uhuru
Tutashikamana daima.
Ewe Uganda, nchi ya uhuru
Tunakutolea upendo na kazi.
Pamoja na majirani wetu
kwa wito wa nchi yetu
twaishi kwa amani na undugu.
Ewe Uganda, nchi inayotulisha
kwa jua na ardhi yenye rutba.
Kwa ajili ya nchi yetu
tutasimama daima
Wewe ni lulu ya taji la Afrika.