Ohun Oko Somida

Filamu ya Nigeria mwaka 2010

Ohun Oko Somida ni filamu ya mwaka 2010 ya nchini Nigeria iliyoandikwa na kuongozwa na Sola Sobowale.[1]

Nyota wa filamu hii ni Fathia Balogun na Adebayo Salami, na baba wa Femi Adebayo.[2]

Wahusika hariri

Marejeo hariri

  1. "West African Migrations". Iliwekwa mnamo 12 April 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "African Film". Iliwekwa mnamo 12 April 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ohun Oko Somida kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.