Oklahoma City Thunder

Timu ya Kimarekani ya mpira wa kikapu yenye makao yake Oklahoma City, Marekani

Oklahoma City Thunder ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Oklahoma City, Oklahoma. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Chris Paul. Timu ilianzishwa mnamo mwaka wa 1967.

Uwanja wa Nishati wa Chesapeake ulianza kuwa mwenyeji wa Oklahoma City Thunder mnamo 2008.
Oklahoma City Thunder
Ukanda Western Conference
Daraja Northwest Division
Imeanzishwa 1967
Historia Seattle SuperSonics (1967–2008)
Oklahoma City Thunder
(2008–)
Uwanja Ford Center
Mji Oklahoma City, Oklahoma
Rangi ya timu Orange, Navy Blue, Blue, Gold, White
                             
Mmiliki Professional Basketball Club LLC (Clay Bennett, Chairman)
Meneja mkuu Sam Presti
Kocha mkuu Billy Donovan
D-League affiliate Tulsa 66ers
Ubingwa 1 (1979)
Mataji ya ukanda 3 (1978, 1979, 1996)
Mataji ya daraja 6 (1979, 1994, 1996,

1997, 1998, 2005)

Tovuti rasmi nba.com/oklahomacity

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Oklahoma City Thunder kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.