Oklahoma City, Oklahoma

Oklahoma City ndiyo mji mkuu katika jimbo la Oklahoma. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao milioni 1.3 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 396 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mji wa oklahoma


Jiji la Oklahoma City
Nchi Marekani
Jimbo Oklahoma
Wilaya Canadian
Cleveland
Oklahoma
Pottawatomie
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 547,274
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Oklahoma City, Oklahoma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Miji mikuu ya majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming