Oksidi
Oksidi ni kampaundi ya kikemia yenye angalau atomu 1 ya oksijeni pamoja na angalau atomu moja ya elementi nyingine.
Mifano ya oksidi ni pamoja na:
- Maji (oksidi ya hidrojeni) (H2O)
- Kutu (oksidi ya chuma) (Fe2O3)
- Dioksidi kabonia (CO2)
- Monoksidi kabonia (CO)
- Oksidi ya alumini (Al2O3)
Metali nyingi hupatikana kama mitapo ambamo metali kama chuma ina umbo la oksidi.
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Oksidi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |