Olaf Hassel

Mtaalamu wa nyota wa Norway (1898-1972)

Olaf Hassel (12 Mei 189822 Agosti 1972) alikuwa mwanaastronomia mahiri kutoka Norway. Alizaliwa huko Øvre Sandsvær. Anajulikana kwa uvumbuzi wake wa nyota inayotambulika kama Jurlov-Achmarof-Hassel mnamo Aprili 1939 na nova V446 Herculis tarehe 7 Machi 1960. Hassel alizaliwa akiwa na ulemavu wa ukiziwi.[1][2]

Marejeo

hariri
  1. Engvold, Oddbjørn. "Olaf Hassel". In Helle, Knut (in Norwegian). Norsk biografisk leksikon. Oslo: Kunnskapsforlaget. http://www.snl.no/.nbl_biografi/Olaf_Hassel/utdypning. Retrieved 2 November 2010.
  2. "Olaf Hassel" (in Norwegian). Store norske leksikon. Oslo: Kunnskapsforlaget. http://www.snl.no/Olaf_Hassel. Retrieved 2 November 2010.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Olaf Hassel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.