Olga Ahtinen (alizaliwa 15 Agosti 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufini ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Tottenham Hotspurs inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL)[1] na timu ya taifa ya Ufini.[2]

Olga Ahtinen

Marejeo hariri

  1. "Tottenham beat newcomers Bristol to get first win", BBC Sport (kwa en-GB), iliwekwa mnamo 2024-04-28 
  2. "Finland - O. Ahtinen - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". my.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-28. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Olga Ahtinen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.