Oliver Smithies
Oliver Smithies (amezaliwa 23 Juni, 1925) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Uingereza. Baadaye akahamia Marekani. Hasa alichunguza ujenetikia wa vipanya. Mwaka wa 2007, pamoja na Mario Capecchi na Martin Evans, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Oliver Smithies kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |