Olumuyiwa Aganun
Olushola Olumuyiwa Aganun (alizaliwa 4 Mei 1984) ni mwanasoka wa Nigeria ambaye anacheza kama mshambuliaji katika ligi ya Austria 1. Klabu ya Klasse Sans Papiers-Die Bunten.
Kazi
haririMnamo 2001, Aganun alitafutwa na klabu kama Reggiana pamoja na Obafemi na Oladipupo Martins. Walakini, tofauti na klabu hzo alichezea klabu kama Martins,hata hivyo Aganun alirudi Nigeria. Baadaye alihamia Malta katika klabu za Msida Saint-Joseph, [1] kisha Austria na Wacker Innsbruck.
Marejeo
hariri- ↑ "The III Westin Malta Football Awards 2003/04 – Nominees". Malta Football. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 Agosti 2004. Iliwekwa mnamo 2023-06-13.
{{cite web}}
: More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo Vya Nje
hariri- Olumuyiwa Aganun katika Soccerway.com
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Olumuyiwa Aganun kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |