Omar Belbey
Omar Cherif Belbey (alizaliwa 7 Oktoba 1973) ni mwanasoka wa zamani wa Algeria ambaye alicheza kama kiungo.[1].Omar Katika ngazi ya kimataifa, aliiwakilisha Algeria ikishiriki Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2002 nchini Mali. Katika fainali ya kombe La Coupe de France ya 1996 dhidi ya AJ Auxerre, Belbey aliifungia Nîmes Olympique bao 1.[2]
Heshima
haririNimes
- Coupe de France mshindi wa pili: 1996 Coupe de France
- Bingwa wa Kitaifa: 1997
Marejeo
hariri- ↑ LFP – La fiche de Omar Cherif BELBEY
- ↑ "En deux ans, Omar Belbey aura connu le chômage et l'Europe", 27 September 1996. (fr)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Omar Belbey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |