Omar Yussuf Mzee (amezaliwa tar. 27 Desemba 1959) ni mbunge wa jimbo la Kiembesamaki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Omar Yussuf Mzee". 10 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.