Ompie Nkumbula-Lieventhal

Ompie Nkumbula-Lieventhal ni mbunge wa Bunge la Afrika kutoka Zambia. Yupo kwenye Kamati ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.

Marejeo

hariri