On the 6
On the 6 ni albamu ya kwanza kutoka kwa mwimbaji-mwandishi Jennifer Lopez, iliyotolewa nchini Marekani mnamo 1 Juni 1999. Ilkuwa namba 8 kwenye chati ya Billboard 200 mnamo 19 Juni 1999, ikipata mauzo ya nakala 112,000 kwenye wiki ya kwanza.[1] Ilibaki kwenye top 20 kwa muda wa wiki kumi na moja na kwenye chati kwa muda wa wiki hamsini na tatu. imeuza nakala milioni saba kote duniani, na kutoa singles tano, ikiwemo "If You Had My Love" iliyokuwa namba 1 kwenye chati ya Billboard Hot 100. Jina la albamu hii inatokana na barabara ya 6 mjini New York ambayo Lopez alikuwa akitembea kutoka nyumbani kwake hadi kazini kila siku.
On the 6 | |||||
---|---|---|---|---|---|
Kasha ya albamu ya On the 6.
|
|||||
Studio album ya Jennifer Lopez | |||||
Imetolewa | 1 Juni 1999 | ||||
Imerekodiwa | Julai 1998 | ||||
Aina | Pop, dance-pop, latin pop, R&B | ||||
Urefu | 61:69 | ||||
Lugha | Kiingereza | ||||
Lebo | Epic, Work | ||||
Mtayarishaji | Jennifer Lopez (also executive), Darrell Branch, P. Diddy, Loren Dawson, Lawrence Dermer, Emilio Estefan, Jr. (also executive), Rob Jenkins, Darkchild, Richie Jones, Poke & Tone, Lance "Un" Rivera, Cory Rooney (also executive), Kike Santander, Dan Shea, Ric Wake, Alvin West, Juan Vicente Zambrano | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Jennifer Lopez | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya On the 6 | |||||
Nyimbo zake
hariri- "If You Had My Love" (Jerkins, Jerkins III, Daniels, Cory Rooney) – 4:25
- "Should've Never" (Rooney, Lopez, Barnes, Olivier, Baliardo, Reyes) – 6:14
- "Too Late" (Rooney, Lopez, West) – 4:27
- "Feelin' So Good" (featuring Big Pun and Fat Joe) (Rooney, Lopez, Rios, Cartagena, Combs, Standard, Logios) – 5:27
- "Let's Get Loud" (Estefan, Santander) – 3:59
- "Could This Be Love" (Dermer) – 4:26
- "No Me Ames" (Tropical Remix with Marc Anthony) (Giancarlo Bigazzi, Marco Falagiani, Ignacio Ballesteros, Aleandro Baldi) – 5:03
- "Waiting for Tonight" (Maria Christensen, Michael Garvin, Phil Temple) – 4:06
- "Open Off My Love" (Darrell Branch, Kyra Lawrence, Lance Rivera) – 4:35
- "Promise Me You'll Try" (Peter Zizzo) – 3:52
- "It's Not That Serious" (R. Jerkins, F. Jerkins, Rooney, Lopez, Loren Dawson) – 4:17
- "Talk About Us" (Rooney) – 4:35
- "No Me Ames" (Ballad Version with Marc Anthony) – 4:38
- "Una Noche Más" (Christensen, Garvin, Temple, Manny Benito) – 4:05
Toleo la Ulaya na la Kifilipino
hariri- "Baila" (Emilio Estefan, Jr., Jon Secada, George Noriega, Randall Barlow) – 3:55
- "Theme from Mahogany (Do You Know Where You're Going To)" (Michael Masser, Gerry Goffin) – 3:34
Toleo la Kihispania
hariri- "No Me Ames" (with Marc Anthony) – 4:38
- "If You Had My Love" (Si Tuvieras Mi Amor) – 4:25
- "Una Noche Más" – 4:05
- "Should've Never" (No Debiera) – 6:14
- "Es Amor" (Manny Benito, Jose Sanchez, Frank Rodriguez, Guillermo Edghill, Jr.) – 4:40
- Let's Get Loud" (Pongámonos Estridentes) – 3:59
- "It's Not That Serious" (No Es Tan Serio) – 4:17
- "Amar Es Para Siempre" (Promise Me You'll Try) – 3:52
- "Too Late" (Demasiado Tarde) – 4:27
- "El Deseo de Tu Amor" – 4:35
- "Talk About Us" (Hablemos de Nosotros) – 4:35
- "Could This Be Love" (¿Podría Esto Ser Amor?) – 4:26
- "No Me Ames" (Remezcla Tropical with Marc Anthony) – 5:03
- "Waiting for Tonight" (Una Noche Más) – 4:05
Tuzo
haririAmerican Music Awards
- Kura mbili - Favorite Pop/Rock New Artist and Favorite Latin Artist (1999)
Grammy Awards
- Kura mbili - Best Dance Recording for "Waiting for Tonight" (2000) and "Let's Get Loud" (2001)
Latin Grammy Awards
- Kura mbili - Best Pop Performance by a Duo or Group with Vocal and Best Music Video for "No Me Ames" with Marc Anthony (2000)
Billboard Music Awards
- Ilishinda Best Pop Clip for "If You Had My Love" (1999)
Brit Awards
- Kura mbili - Best International Female Solo Artist and Best International Breakthrough (2000)
Billboard Latin Music Awards -
- Ilishinda Hot Latin Track of the Year, Vocal Duo for "No Me Ames" with Marc Anthony (2000)
Nickelodeon's Kid's Choice Awards
- Ilishinda Favorite New Music Artist (2000)
Soul Train Music Awards
- nomination for Best R&B/Soul Album, Female for On The 6 (1999)
MTV Video Music Awards
- Kura nne za "If You Had My Love" – Best Female Video, Best Dance Video, Best Pop Video and Best New Artist (1999)
- Kura ya Best Artist Website (1999)
- Ilishinda Best Dance Video for "Waiting for Tonight"; nomination for Best Choreography for "Waiting for Tonight" (2000)
Teen Choice Awards
- Ilishinda Best Song of the Summer for "If You Had My Love" (1999)
ALMA Awards
- Ilishinda Outstanding Music Video Performer for "If You Had My Love" (2000)
Chati
hariri
|
|
Mauzo na thibitisho
haririAnayetoa | Thibitisho | Mauzo |
---|---|---|
Argentina CAPIF | Platinum[8] | 40,000 |
Australia ARIA | Gold[9] | 35,000 |
Austria IFPI | Gold[10] | 10,000 |
Canada CRIA | 5× platinum[11] | 500,000 |
Europe IFPI | Platinum[12] | 1,000,000 |
Finland IFPI | Gold[13] | 15,000 |
France SNEP | 2× gold[14] | 210,000[15] |
Germany IFPI | Gold | 100,000 |
Netherlands NVPI | Platinum[16] | 60,000 |
New Zealand RIANZ | 2× platinum[17] | 30,000 |
Poland ZPAV | Platinum[18] | 60,000 |
Switzerland IFPI | Gold[19] | 15,000 |
UK BPI | Platinum[20] | 300,000 |
U.S. RIAA | 3× platinum[21] | 3,000,000 |
Worldwide | — | 7,500,000[22] |
Marejeo
hariri- ↑ "'Millennium' Extends Reign On Billboard 200". Billboard. 10 Juni 1999. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-26. Iliwekwa mnamo 2008-11-27.
- ↑ "On the 6 > Charts & Awards > Billboard Albums". Allmusic. Iliwekwa mnamo 2008-11-27.
- ↑ "Jennifer Lopez – On The 6 – swisscharts.com". SwissCharts.com. Iliwekwa mnamo 2008-11-27.
- ↑ "Musicline.de – Jennifer Lopez – On The 6". Musicline.de (kwa German). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-02-19. Iliwekwa mnamo 2008-11-27.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Top 40 album- és válogatáslemez-lista – 1999. 38. hét". Mahasz (kwa Hungarian). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-07-14. Iliwekwa mnamo 2008-11-27.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "On The 6 – Oricon". Oricon (kwa Japanese). Iliwekwa mnamo 2008-11-27.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Chart Stats – Jennifer Lopez – On The 6". Chart Stats. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-06-29. Iliwekwa mnamo 2008-11-27.
- ↑ ""Gold & Platinum certification on Argentina"". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-31. Iliwekwa mnamo 2010-01-19.
- ↑ "ARIA Charts - Accreditations - 1999 Albums"
- ↑ "Gold & Platinum Database"
- ↑ ""Canadian Gold and Platinum certifications"". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-07-20. Iliwekwa mnamo 2010-01-19.
- ↑ ""IFPI Platinum Europe Awards - 2002"". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-01-09. Iliwekwa mnamo 2010-01-19.
- ↑ "Finnish certification". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2010-01-19.
- ↑ ""2001 2X Gold Certification of On The 6"". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-13. Iliwekwa mnamo 2010-01-19.
- ↑ "France estimated album sales"
- ↑ "NVPI Database". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-13. Iliwekwa mnamo 2010-01-19.
- ↑ "New Zealand Top 50 Albums Chart" Ilihifadhiwa 28 Julai 2009 kwenye Wayback Machine. Retrieved 21 Novemba 1999.
- ↑ "Związek Producentów Audio-Video :: Polish Society of the Phonographic Industry". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-03-30. Iliwekwa mnamo 2010-01-19.
- ↑ "Switzerland searchable database"
- ↑ "The BPI database"
- ↑ "RIAA Gold and Platinum Certifications"
- ↑ ""Sony & BMG Jennifer Lopez Gallery"". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-11-10. Iliwekwa mnamo 2010-01-19.