Ona Batlle
Mchezaji wa mpira wa miguu wa chama cha soka cha Uhispania
Ona Batlle Pascual (alizaliwa 10 Juni 1999) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Hispania ambaye anacheza kama beki wa pembeni wa klabu ya Liga F Barcelona na timu ya taifa ya Uhispania.[1]
Ona Batlle | ||
Maelezo binafsi | ||
---|---|---|
Jina kamili | Ona Batlle Pascual | |
Tarehe ya kuzaliwa | 10 Juni 1999 | |
Mahala pa kuzaliwa | Vilassar de Mar, Hispania | |
Urefu | 1.65 m | |
Nafasi anayochezea | beki wa pembeni | |
Maelezo ya klabu | ||
Klabu ya sasa | Barcelona | |
* Magoli alioshinda |
Batlle alizaliwa na kukulia katika mji ndani ya jimbo la Barcelona,na kuanza kucheza mpira wa miguu na Vilassar de Mar. Alichezea vilabu vya Barcelona, Madrid CFF, Levante na Manchester United.[2][3]
Marejeo
hariri- ↑ "El Barça Femenino seguirá fichando a jugadoras de primer nivel". Mundo Deportivo (kwa Kihispania). 2017-07-08. Iliwekwa mnamo 2024-04-13.
- ↑ Andrés Baqué García-Margallo (2017-09-05). "Debut histórico del Madrid Femenino en Liga Iberdrola". Web Oficial Madrid CFF (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 2024-04-13.
- ↑ "Noticias". www.levanteud.com (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 2024-04-13.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ona Batlle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |