One Jerusalem
Shirika linaloongozwa na Naibu Waziri Mkuu wa zamani wa Israel Natan Sharansky kinyume na mapendekezo ya makubaliano ya Oslo.
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
One Jerusalem, yaani Jerusalem Moja, ni shirika lenye dhamira ya "kudumisha Yerusalemu iliyounganika kama mji mkuu usiogawanyika kwa Israeli".
Ilianzishwa kama jibu kwa Mchakato wa Amani wa Oslo, haswa, kutokana na wasiwasi kuona kwamba suluhu hiyo inaweza kusababisha mamlaka ya Wapalestina juu ya Mlima wa Hekalu la Jerusalemu ili kuwa na amani.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |