OpenStreetMap Logo
OpenStreetMap Cape Town

OpenStreetMap (OSM) ni mradi shirikishi wa uumbaji wa ramani hairirifu na huria ya dunia. Ramani zinaumbwa kwa kutumia data kutoka kwenye kachombo kadogo cha mfumo wa GPS, yaani inachukua picha za hewani na vyanzo vingine huria.

Viungo vya NjeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu OpenStreetMap kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.