Oppa Clement
Mchezaji wa soka Tanzania
Oppa Clement Sanga (alizaliwa 14 Februari 2001, mkoani Iringa, ni mchezaji wa kandanda au mpira wa miguu akiichezea klabu ya wanawake ya Besiktas ya Uturuki na timu ya Taifa ya Tanzania ya wanawake (Twiga Stars).
Oppa Clement | ||
Maelezo binafsi | ||
---|---|---|
Tarehe ya kuzaliwa | 14 Februari 2001 | |
Mahala pa kuzaliwa | Iringa, Tanzania | |
Urefu | 1.50 m (4 ft 11 in) | |
Nafasi anayochezea | Mshambuliaji | |
Maelezo ya klabu | ||
Klabu ya sasa | Besiktas | |
Namba | 27 | |
Klabu za vijana | ||
Simba Queens 2018-2023
Besiktas 2023- | ||
Timu ya taifa | ||
Twiga Stars | ||
* Magoli alioshinda |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Oppa Clement kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |