Orlando Bennett (alizaliwa 12 Oktoba 1999) ni mchezaji wa Jamaika. Alifuzu kwa Mashindano ya Riadha ya Dunia mwaka 2019 huko Doha ambapo alifika nusu fainali ya mbio za mita 110 kuruka viunzi.[1]Alishinda medali ya dhahabu ya viunzi 110 katika Mashindano ya NACAC U23 ya 2021. [2]

Orlando Bennett

Bennett alifika fainali ya mbio za mita 110 kuruka viunzi katika Michezo ya Olimpiki mwaka 2024, akimaliza wa 7.

Marejeo

hariri
  1. "110 Metres Hurdles Men – Round 1" (PDF).
  2. "J'cans sweep sprint hurdles at NACAC today". San Jose, Costa Rica: Jamaica Observer.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Orlando Bennett kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.