Orlando Magic

Orlando Magic ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Orlando, Florida. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Aaron Gordon.

Viungo vya NjeEdit


  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Orlando Magic kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.