Orodha ya Marais wa Falme za Kiarabu

Ukarasa huu una orodha ya marais wa Falme za Kiarabu (kwa Kiarabu: رئيس دولة الإمارات العربية المتحدة):

Bendera ya Rais wa Falme za Kiarabu

OrodhaEdit

# Jina
(miaka ya maisha)
Picha Muda wa Utawala
1 Zayed bin Sultan Al Nahyan
(1918 - 2004)
  2 Desemba 1971 2 Novemba 2004
Kaimu Maktoum bin Rashid Al Maktoum
(1943 - 2006)
  2 Novemba 2004 3 Novemba 2004
2 Khalifa bin Zayed Al Nahyan
(1948 -)
  3 Novemba 2004 sasa

Tazama piaEdit

Viungo vya NjeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu: