Orodha ya vyama vya kisiasa nchini Kenya

Orodha ya vyama vya kisiasa nchini Kenya inatokana na nchi hiyo kufuata mfumo wa vyama vingi.

Kenya ilikuwa na vyama vya kisiasa vilivyosajiliwa zaidi ya 160 kufikia mwezi Novemba mwaka wa 2007 [1] lakini kufuatia kupitishwa kwa sheria maalum ya vyama vya siasa tarehe 31 Desemba 2008, idadi ya vyama vilivyoandikishwa ilipungua hadi 38 huku vyama kadhaa vikiongezewa muda wa kujilinganisha na sheria hii mpya.[1][2][2][3][3]

VyamaEdit

Vyama vilivyopewa cheti cha kusajiliwaEdit

Vyama vinavyongoja cheti cha kusajiliwaEdit

Vyama vya kihistoriaEdit

Tazama piaEdit

  • Orodha ya vyama vya kisiasa kwa itikadi
  • Uanachama wa vyama vya kisiasa kwenye miungano ya kimataifa na uanachama wa kimataifa

TanbihiEdit

  1. 1.0 1.1 Tume ya Uchaguzi ya Kenya, 17 Novemba 2007: Orodha ya vyama vya kisiasa vilivyosajiliwa
  2. 2.0 2.1 Unregistered political parties handed a lifeline http://www.bdafrica.com/index.php?option=com_content&task=view&id=12116&Itemid=5822
  3. 3.0 3.1 30 parties meet deadline for new law http://www.nation.co.ke/News/politics/-/1064/509254/-/yi06h3z/-/index.html
  4. Leaders keep supporters guessing on parties as registration deadline passes ,Daily Nation 30-04-2012

Viungo vya njeEdit