Orodha ya miji ya Eritrea

Orodha ya miji ya Eritrea inaonyesha miji yote nchini Eritrea yenye wakazi zaidi ya 5,000.

Ramani ya Eritrea
Asmara, Mji Mkuu wa Eritrea
Keren

Rundiko kubwa nchini ni mji mkuu Asmara ambayo pamoja na mapambizo yake ilikuwa na wakazi zaidi ya milioni moja. Hivyo ni takriban robo moja ya wananchi wote wanaoishi katika mazingira ya mji mkuu.


Miji nchini Eritrea
Na. Mji Idadi ya wakazi Mkoa
Sensa ya 1984 makadirio ya 2010
1 Asmara 475,385 649,707 Kati
2 Keren 126,149 146,483 Anseba
3 Teseney 52,531 64,889 Gash-Barka
4 Mendefera 22,184 63,492 Debub
5 Agordat 15,948 47,482 Gash-Barka
6 Assab 31,037 39,656 Bahari Nyekundu Kusini
7 Massawa 15,441 36,700 Bahari Nyekundu Kaskazini
8 Adi Quala 14,465 34,589 Debub
9 Senafe 14,019 31,831 Debub
10 Dekemhare 17,290 31,000 Debub
11 Segheneyti 13,328 27,656 Debub
12 Nakfa N/A 20,222 Bahari Nyekundu ya Kaskazini
13 Adi Keyh 8,691 19,304 Debub
14 Barentu 2,541 15,467 Gash-Barka
15 Beilul N/A 14,055 Bahari Nyekundu Kusini
16 Ed N/A 12,855 Bahari Nyekundu Kusini
17 Ghinda 7,702 10,523 Bahari Nyekundu Kaskazini
18 Mersa Fatuma N/A 9,542 Bahari Nyekundu Kusini
19 Himbirti N/A 8,822 Kati
20 Nefasit N/A 8,727 Kati

Viungo vya nje

hariri
  • Geopolis, kuhusu maeneo ya mijini na ukuaji wa miji duniani