Orodha ya viwanja vya michezo vya Botswana
Orodha ya makala za Wikimedia
Orodha hii inaonyesha viwanja vya michezo Botswana, orodha hii imepangiliwa kulingana na uwezo wa uwanja kuchukua mashabiki.
Orodha
hariri# | Uwanja | Uwezo | Mji | Wilaya | Timu ya Nyumbani |
---|---|---|---|---|---|
1 | Uwanja wa michezo wa Francistown | 27,000 | Francistown | North-East| | |
2 | Uwanja wa michezo wa kitaifa wa Botswana | 25,000 | Gaborone | South-East | Township Rollers F.C. |
3 | Uwanja wa michezo wa Lobatse | 20,000 | Lobatse | South-East | Extension Gunners, |
4 | Uwanja wa michezo wa Molepolole | 6,600 | Molepolole | Kweneng | Police XI S.C., Gaborone United, Mochudi Centre Chiefs S.C. |
5 | Maun Stadium | 10,000 | Maun | North-West | Sankoyo Bush Bucks F.C. |
6 | Phikwe Stadium | 9,000 | Selebi-Phikwe | Central | F.C. Satmos, BCL Nico United S.C. |
7 | University of Botswana Stadium | 8,500 | Gaborone | South-East | |
8 | Serowe Stadium | 6,000 | Serowe | Central | Green Lovers FC, Miscellaneous SC Serowe, Motlakase Power Dynamos |
9 | Itekeng Stadium | 5,000 | Orapa | Central | Orapa United FC |
10 | Masunga Stadium | 5,000 | Masunga | North-East | |
11 | Uwanja wa michezo wa SSKB | 5,000 | Gaborone | South-East | Botswana Defence Force XI FC |
12 | Botswana Police College Stadium | 1,500 | South-East |
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Orodha ya viwanja vya michezo vya Botswana kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |