Uwanja wa michezo wa Francistown

Uwanja wa michezo wa Francistown ambao pia rasmi unajulika kwa jina la Uwanja wa michezo wa Obed Itani Chilume ni uwanja wa michezo unaotumika kwa matumizi mengi huko Francistown, nchini Botswana. [1]

Uwanja wa michezo wa Francistown, Botswana

Unatumika zaidi kwa mpira wa miguu (soka) na pia hutumika kuandaa mechi za nyumbani za klabu ya Francistown giants TAFIC. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 27,000. Ulifunguliwa rasmi mnamo mwaka 2015, miaka 5 baadaye kuliko ilivyopangwa. Kwa sababu ya ucheleweshaji, uwanja haukuweza kukamilika kwa wakati wa Kombe la Dunia la mwaka 2010 kama ilivyopangwa hapo awali.[2][3][4]

Uwanja huo pia huwa na mkutano wa riadha kwa shule za upili za mitaa, na vilevile majaribio ya kitaifa na mashindano. [5]

Marejeo

hariri
  1. http://www.bnsc.co.bw/node/225
  2. Correspondent, Legwatagwata Kheme-BG. "Francistown Stadium project stalls - Botswana Guardian". www.botswanaguardian.co.bw (kwa Kiingereza (Uingereza)). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-04-21. Iliwekwa mnamo 2020-03-24. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  3. "Francistown Stadium ready in three weeks". Botswana Gazette (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-03-24.
  4. DUBE, CHAKALISA. "Mmegi Online :: F/town Sports Complex a white elephant - Muzila". Mmegi Online. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-04-21. Iliwekwa mnamo 2020-03-24. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  5. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-11-03. Iliwekwa mnamo 2021-06-11.