Orodha ya wakuu wa nchi Gabon
(Elekezwa kutoka Orodha ya wakuu wa nchi ya Gabon)
Orodha hii inataja wakuu wa Gabon kufuatana na utaratibu wa nchi hiyo (Tarehe zilizo katika mlalo zinaashiria uendelezo wa kiofisi usiopingika).
Gabon |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Muda wa Madaraka | Aliye-Madarakani | Uhusiano | Maelezo |
---|---|---|---|
Jamhuri ya Kujitawala ya Gabon | |||
28 Novemba 1958 hadi Julai 1959 | Louis Sanmarco, Kamishna Mkuu | ||
Julai 1959 hadi 17 Agosti 1960 | Jean Risterucci, Kamishna Mkuu | ||
Jamhuri ya Gabon (République Gabonaise) | |||
17 Agosti 1960 hadi 17 Februari 1964 | Léon M'ba, Rais | BDG | Amejiuzulu |
17 Februari 1964 hadi 18 Februari 1964 | Kamati ya Mapinduzi:- | ||
Daniel Mbene | Mil | ||
Valère Essone | |||
Jacques Mombo | |||
Daniel Mbo Edou | |||
18 Februari 1964 hadi 19 Februari 1964 | Jean-Hilaire Aubame, Waziri Mkuu wa Muda | Mnyang'anyi | |
19 Februari 1964 hadi 28 Novemba 1967 | Léon M'ba, Rais | BDG | Alirejea na kufariki madarakani |
2 Desemba 1967 hadi 1968 | Albert-Bernard Bongo, Rais | BDG | |
1968 hadi 29 Septemba 1973 | PDG | Alibadili jina kuwa Omar Bongo baada ya kusilimu | |
29 Septemba 1973 hadi 15 Novemba 2003 | Omar Bongo, Rais | Awali Albert-Bernard Bongo | |
15 Novemba 2003 hadi 8 Juni 2009 | El Hadj Omar Bongo Ondimba, Rais | Awali Omar Bongo; amekuwa Mwislamu akiwa madarakani | |
6 Mei 2009 hadi 10 Juni 2009 | Didjob Divungi Di Ndinge, Kaimu Rais | PDG | Amekaimu nafasi ya Bongo wakati yuko hospitalini, Makamu wa Rais |
10 Juni 2009 hadi 16 Oktoba 2009 | Rose Francine Rogombé, Kaimu Rais | PDG | Amemrithi Bongo kikatiba, akiwa Rais wa Seneti |
16 Oktoba 2009 hadi 30 Agosti 2023 | Ali Bongo Ondimba, Rais | PDG | Ameondolewa na wanajeshi |
30 Agosti 2023 kwenda Urais | Brice Clotaire Oligui Nguema, Kaimu Rais | Mil |
Vyanzo
hariri- http://www.rulers.org/rulg1.html#gabon
- Guinness Book of Kings Rulers & Statesmen, Clive Carpenter, Guinness Superlatives Ltd
- African States and Rulers, John Stewart, McFarland