Oscar Chelimo (alizaliwa 12 Desemba 2001)[1] ni mkimbiaji wa mbio ndefu kutoka Uganda. Alishinda medali ya shaba kwa mita 5000 katik Mashindano ya Riadha ya Dunia mwaka 2022.

Oscar Chelimo

Kakake mkubwa, Jacob Kiplimo pia ni mwanariadha mashuhuri wa mbio ndefu.[2]

Marejeo

hariri
  1. "Oscar Chelimo".
  2. Sampaolo, Diego (2021-03-19). "Kiplimo set to star at Campaccio cross country". World Athletics. Iliwekwa mnamo 2022-12-31.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oscar Chelimo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.