12 Desemba

tarehe
Nov - Desemba - Jan
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Tarehe 12 Desemba ni siku ya 346 ya mwaka (ya 347 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 19.

Matukio Edit

Waliozaliwa Edit

Waliofariki Edit

Sikukuu Edit

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya Bikira Maria wa Guadalupe, na ya watakatifu Epimako, Aleksanda na wenzao, Spiridioni wa Kupro, Simoni Phan Dac Hoa n.k.

Viungo vya nje Edit

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 12 Desemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.