Otsu, Shiga

Otsu (大津市) ni mji wa Japani. Mji ndiyo mji mkuu katika Mkoa wa Shiga. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 330 000 wanaoishi katika mji huu.

Otsu
Bendera ya Otsu
Bendera
Nchi Japani
Kanda Kansai
Mkoa Shiga
Idadi ya wakazi
 - 332 211
Tovuti: www.city.otsu.shiga.jp
Flag of Otsu, Shiga.svg

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Otsu, Shiga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Wikimedia Commons ina media kuhusu: