Oussama Amar (alizaliwa Agosti 23, 2003) ni mchezaji wa kulipwa ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Al Wasl ya Ligi ya Umoja wa Falme za Kiarabu(UAE). Oussama ni mzaliwa wa Ufaransa, anawakilisha timu ya taifa ya Algeria U20 katika ngazi ya kimataifa.

Kazi hariri

Mnamo Januari 2022, Amar alisaini mkataba na klabu ya Valencia.[1]

Marejeo hariri

  1. Juba Touabi (January 30, 2022). "Mercato : Oussama Amar signe à Valence" (kwa French). DZfoot. Iliwekwa mnamo November 15, 2022.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)

Viungo Vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oussama Amar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.