Owen Willans Richardson (26 Aprili 187915 Februari 1959) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa anajulikana kwa utafiti wake upande wa nadharia ya thermioni. Mwaka wa 1928 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Alipewa cheo cha "Sir" mwaka wa 1939.

Owen Richardson (chini), mwaka wa 1927
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Owen Richardson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.