1879
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1840 |
Miaka ya 1850 |
Miaka ya 1860 |
Miaka ya 1870
| Miaka ya 1880
| Miaka ya 1890
| Miaka ya 1900
| ►
◄◄ |
◄ |
1875 |
1876 |
1877 |
1878 |
1879
| 1880
| 1881
| 1882
| 1883
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1879 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
haririWaliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2025 MMXXV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5785 – 5786 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2778 |
Kalenda ya Ethiopia | 2017 – 2018 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1474 ԹՎ ՌՆՀԴ |
Kalenda ya Kiislamu | 1447 – 1448 |
Kalenda ya Kiajemi | 1403 – 1404 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2080 – 2081 |
- Shaka Samvat | 1947 – 1948 |
- Kali Yuga | 5126 – 5127 |
Kalenda ya Kichina | 4721 – 4722 甲辰 – 乙巳 |
- 8 Machi - Otto Hahn (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1944)
- 14 Machi - Albert Einstein (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1921)
- 29 Machi - Gallus Steiger, askofu wa Peramiho, Tanzania, kutoka Uswisi
- 26 Aprili - Owen Richardson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1928)
- 1 Julai - Leon Jouhaux (kiongozi Mfaransa wa chama cha wafanyakazi, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1951)
- 31 Agosti - Yoshihito, Mfalme Mkuu wa Japani
- 2 Oktoba - Wallace Stevens, mshairi kutoka Marekani
- 5 Oktoba - Peyton Rous, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1966
- 9 Oktoba - Max von Laue (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1914)
Waliofariki
hariri- 23 Machi - Mtakatifu Pavel wa Taganrog, Mkristo mlei wa Ukraina
- 16 Aprili - Mtakatifu Bernadeta Soubirous, mtawa wa Kanisa Katoliki kutoka Ufaransa
Wikimedia Commons ina media kuhusu: