PAN Parks lilikuwa shirika lisilo la kiserikali nchini Uholanzi lililojikita kwenye kulinda nyika za Ulaya. Ni taasisi iliyofilisika Mei 2014[1].

Hifadhi ya Kitaifa ya Balkan ya Kati, Bulgaria
Hifadhi ya Kitaifa ya Balkan ya Kati, Bulgaria.

Marejeo hariri

  1. Max A. E. Rossberg (2014-05-25). "PanParks Foundation “in Liquidation”". European Wilderness Society (kwa en-GB). Iliwekwa mnamo 2022-05-11.