Pahali pa kuchopekeza

ukarasa wa maana wa Wikimedia

Katika utarakilishi, pahali pa kuchopekeza (kwa Kiingereza: insertion point) ni pahali ambapo mtumiaji anaweza kuandika au kuingiza chochote katika maandishi.

Pahali pa kuchopekeza.

Marejeo hariri

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1)
  Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.