Pallance Dladla
Pallance Dladla (alizaliwa Agosti 22, 1992) ni muigizaji wa Afrika Kusini, amepokea tuzo nyingi na uteuzi pamoja na tuzo ya SAFTA. Dladla alishiriki katika msimu wa pili wa darasa la maigizo. Alishindwa na Abdul khoza na Tumia Ngumla ambaye baadae alifanya kazi pamoja katika thamtilia za mwendelezo ya SABC1 inayojulikana kama Tempy Pusha.[1]
Pallance Dladla | |
---|---|
Amezaliwa | Agosti 22, 1992 Afrika Kusini |
Miaka ya kazi | 2006 – mpaka sasa |
Marejeo
hariri- ↑ "When all your faves were class act". Zalebs. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-06-02. Iliwekwa mnamo 2020-03-08.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pallance Dladla kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |