Pamba S.C.
Pamba Sports Club ni klabu ya soka ya Tanzania inayopatikana jijini Mwanza iliyoanzishwa mwaka 1968 inayoshiriki michuano ya ubingwa. Mnamo mwaka 1990 timu ilitwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Pamba | Tanzania Championship | The home of Championship football.Includes all the latest news stories, results, fixtures and video from Tanzania's second tier league. | RecLeague.net". www.tzchampionship.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-11-09. Iliwekwa mnamo 2023-05-14.