Paola Arias
'
Paola Arias | |
---|---|
Picha ya mtaalamu wa hali ya hewa wa Colombia Paola Andrea Arias]] | |
Kazi yake | mwanasayansi na profesa wa mazingira katika chuo cha Antioquia (Kolombia) |
Paola Andrea Arias Gómez ni mwanasayansi na profesa wa mazingira katika chuo cha Antioquia (Kolombia)[1]. Uchunguzi wake unajumuisha viashiria mbalimbali vya mabadiliko ya tabia nchi ndani ya Kolombia na Amerika ya kusini. Arias ni mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kama mwandishi wa ripoti ya IPCC, na kushiriki kama mwandishi mkuu kwenye kundi la kwanza la IPCC ukaguzi wa ripoti ya sita. [2] [1]
Ujuzi
haririArias amepita mafunzo ya ukandarasi kutoka chuo cha Taifa cha Kolombia. Mwaka 2008 alikwenda kuchukua digrii ya pili kwenye mambo ya dunia na sayansi ya anga katika chuo cha teknologia huko Georgia. Mwaka 2011 Arias alichukua Phd ya geolojia katika chuo cha Texas chini ya uangalizi wa Rong fu na mada isemayo Mabadiliko ya Tabia nchi juu ya moonsoon Marekani na sehemu za Amazon katika miongo ya mwisho. Alijiunga na na idara ya fizikia ya chuo kikuu Chile kama daktari mkuu wa uchunguzi na baadaye aliendelea na kazi akiwa nchini Marekani.
Arias ni Profesa katika chuo cha Antioquota na anaongoza klabu ya mazingira , pia anahusishwa kama mmoja wa wachunguzi wa mazingira. Alishiriki katika mkutano wa TED ambapo alizungumzia kuhusu mabadiliko ya tabia ya nchi.
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 https://unimedios.medellin.unal.edu.co/bitacora/conexion/776-la-unica-mujer-colombiana-del-ipcc-es-egresada-de-la-sede.html
- ↑ https://www.udea.edu.co/wps/portal/udea/web/generales/interna/!ut/p/z0/fZBPT8MwDMW_Cjv0GCV0aIxjVSGkaachoS0XZNx0eCRxlz-Ij49XqQcunJ6t93u2ZW31UdsI33SGQhzBS3-ym_ftU9_edw9m_3LY9abb9N3z4-vbvt22eqft_4BMoMv1ajttkWNxP0UfJ04FfB0cNAby3-6Tg1tqirlQqTjf0pgaaYDBZQUoEggh36gRsPpyMxpD8ewiubTC9QqGeci8VZI8w56yoNyYKfHoMidQS14tYQI1JQpOvFAvLilkz-GDIIoBqRCSCAg_cgpOcawKQQC-Q09Bfoespy97-gVkTjUK/
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Paola Arias kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |