Paoneaanga Meyer–Womble
Paoneaanga Meyer-Womble (kifupi: MWO) ni paoneaanga pa mlima Evans, Colorado, Marekani. Panamilikiwa na kuendeshwa na Chuo Kikuu cha Denver.
Pako karibu na mlima Evans katika Msitu wa Kitaifa wa Arapaho takriban kilomita 60 magharibi mwa Denver, Colorado (USA), katika mwinuko wa mita 326 (futi 14,193).
Tazama pia
haririViungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Friends of the Observatory
- Collection of articles on the observatory Ilihifadhiwa 3 Novemba 2006 kwenye Wayback Machine. at the LA Times
- Live Lecturers sent into a Black Hole by Danny King at Bloomberg News
- Make Astronomers the Stars Op/Ed by Margaret Wertheim in the LA Times
- Light Pollution in L.A. Area
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Paoneaanga Meyer–Womble kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |