Funjo la Rylands P52 linayojulikana kama kipande cha Injili ya Yohane cha zamani zaidi limehifadhiwa katika maktaba ya Chuo Kikuu cha John Rylands Manchester, Uingereza.

Rylands Greek P 457 Recto
Rylands Greek P 457 Verso

Mbele ina sehemu ya mistari saba kutoka Injili ya Yohana 18: 31-33, kwa Kiyunani, na nyuma ina sehemu za mistari saba kutoka katika aya ya 37-38.

Tangu 2007, funjo hilo limekuwa likionyeshwa kwa kudumu katika jengo la maktaba ya Deansgate.

Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papyrus P52 kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.