Paradise Cay
Paradise Cay ni eneo la jimbo la California nchini Marekani.
Paradise Cay | |
USA California location map |
|
Majiranukta: 37°54′46″N 122°28′32″W / 37.91278°N 122.47556°W |
Umaarufu wake hasa ni kama mahali pa kufariki kwa Robin Williams (1951-2014).[1]
Marejeo
hariri- ↑ "San Francisco Neighbours Mourn Robin Williams", Sky News, BSkyB, August 13, 2014.
Wikimedia Commons ina media kuhusu: