Patricia Kombo

mwanaharakati wa hali ya hewa ya vijana nchini Kenya.Anajulikana zaidi kwa mipango yake ya kupanda miti

Patricia Kombo ni mwanaharakati kijana wa masuala ya hali ya hewa kutokea nchini Kenya. [1][2] Anajulikana zaidi kwa miradi yake ya upandaji miti kama sehemu ya shughuli za mradi wake usio wa kifaida ujulikanao kama PaTree.[1][3][4][5]Kwa kazi hii Kombo ametajwa kama shujaa wa Umoja wa Mataifa wa Kupambana na kuenea kwa Jangwa.[6][7][8]

Paticia Kombo

Kombo asili yake ni kutoka Mbooni, Kaunti ya Makueni.[9] Kombo alisoma uandishi wa habari katika Chuo Kikuu cha Moi.[10][10]

Mnamo 2022, aliwapa changamoto viongozi wa dunia wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Kupambana na Kuenea kwa Jangwa nchini Cote d'Ivoire. [11][12]

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 "Patricia Kombo: The tree planter on a mission". Nation (kwa Kiingereza). 5 July 2020. Iliwekwa mnamo 2020-09-10.  Check date values in: |date= (help)
  2. Cocking, Simon. "OUR FORESTS ARE TOO PRECIOUS TO BE LOST, PATRICIA MUMBUA KOMBO, INSPIRATIONAL KENYAN ACTIVIST", Irish Tech News, March 19, 2020. 
  3. Network, Pamoja (2020-03-25). "Meet Patricia. The African Environmentalist changing Africa one tree at a time.". Pamoja Network (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-27. Iliwekwa mnamo 2020-09-10.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  4. "Patricia Kombo- PaTree Initiative| Women in Conservation". Enviro Wild. 2020-07-07. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-09-03. Iliwekwa mnamo 2020-09-10.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  5. Trends, Kenyan News (2020-05-16). "Exclusive: A Personal Story of A 24-Year-Old Kenyan Environmentalist - Patricia Kombo". Kenyan News Trends (kwa en-GB). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-07-24. Iliwekwa mnamo 2020-09-10.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  6. "Ciencia Mágica from Mexico receives UNCCD Land Heroes Award | UNCCD". www.unccd.int. Iliwekwa mnamo 2020-09-10. 
  7. "Land Hero: Patricia Kombo, Kenya". UNCCD. Jun 16, 2020. 
  8. "23 Year Old Takes The Initiative To Conserve Environment". Ebru TV Kenya. Aug 17, 2020.  Check date values in: |date= (help)
  9. https://nation.africa/kenya/life-and-style/mynetwork/patricia-kombo-the-tree-planter-on-a-mission-241568
  10. 10.0 10.1 https://nation.africa/kenya/life-and-style/mynetwork/patricia-kombo-the-tree-planter-on-a-mission-241568
  11. "World changemakers to gather in Côte d'Ivoire for a major land stewardship conference". 
  12. "Políticos y expertos discuten cómo combatir desertificación". Los Angeles Times. 17 June 2022.  Check date values in: |date= (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Patricia Kombo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.