Patricio Peralta Ramos

Patricio Peralta Ramos (17 Mei 181425 Aprili 1887) alikuwa mfanyabiashara na mmiliki wa ardhi kutoka Argentina, maarufu kwa mchango wake katika uanzishaji wa jiji la baharini la Mar del Plata.[1]

Pwani ya Bristol ya Mar del Plata, karibu 1910.

Marejeo

hariri
  1. "Punto Mar del Plata: Reseña histórica marplatense" (kwa Kihispania). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-09-25. Iliwekwa mnamo 2009-11-05.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Patricio Peralta Ramos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.