Mac - Aprili - Mei
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 25 Aprili ni siku ya 115 ya mwaka (ya 116 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 250.

Matukio

hariri

Waliozaliwa

hariri

Waliofariki

hariri

Sikukuu

hariri

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya mtakatifu Marko Mwinjili, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Aniano wa Aleksandria, Pasikrate na Valensyoni, Febadi, Stefano II wa Antiokia, Klarensi, Ermini, Franka, Petro wa Betancur, Yohane Mbatizaji Piamarta n.k.

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 25 Aprili kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.