Edgar Paul Akouokou (alizaliwa 20 Desemba 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ivory Coast ambae anacheza kama kiungo mkabaji wa klabu ya Olympique Lyonnais inayoshiriki Ligi Kuu ya Ufaransa na timu ya taifa ya Ivory Coast.[1][2]

Marejeo

hariri
  1. "Akouokou på test till fransk ligaklubb". Ekenäs Idrottsförening r.f. (kwa Kiswidi). Iliwekwa mnamo 2024-06-16.
  2. "Côte d'Ivoire - P. Akouokou - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-06-16.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Akouokou kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.