Paul Piché
Paul Piché (alizaliwa 5 Septemba, 1953) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Kanada, mtetezi wa mazingira na mtaalamu wa masuala ya kisiasa.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Pratte, André. "L'agenda ouvert", La Presse, March 8, 2014. Retrieved on May 14, 2019. (fr)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Paul Piché kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |